Karibu kuwa nami jumapili hii katika Makala haya ya Changu chako Chako Changu ambapo Jumapili hii nakuletea sehemy atatu na ya mwisho ya makala kuhusu siku ya Kiswahili Duniani Julay 7 iliokwenda ...
Katika sehehemu hii ya tatu na ya mwisho ya makala kuhusu historia ya waswahili wa Burundi, mzee anzuruni anatueleza hapa kuhusu harakati za kumtambua mswahili wa Burundi zilipofikia. Utafahamu pia ...