Nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan, amemfuta kazi Waziri wake wa usalama George Simbachawene, huku akifanya mabadiliko ...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali, akifanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri, nafasi za Naibu Mawaziri pamoja na uongozi wa ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake ya kuuaga mwaka 2025 na kukaribisha 2026, amewataka Watanzania ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amezipongeza taasisi na wataalamu katika sekta ya utalii na uhifadhi kwa kulinda vivutio vya taifa ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Jumatano alikamilisha ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Kenya huku pakiwa na matumaini kati ya nchi hizi mbili kwamba ziara hiyo itafungua sura mpya katika ...
Rais wa zamani wa Tanzania na muasisi wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi katika taifa hilo la Afrika Mashariki, Ali Hassan Mwinyi, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 98. Tangazo la kifo cha ...
Ukandamizaji ulishamiri chini ya uongozi wa Rais alietangulia, John Magufuli, kama anavyoelewa vema Tito Magoti, mwanasheria na mwanaharakati ambaye alikamatwa mwaka 2019 na kuwekwa kizuizini bila ya ...