Mwendesha pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’ Mhochi Joseph (29) Mkazi wa Kitangiri wilayani Ilemela mkoani Mwanza anadaiwa kushambiliwa hadi kufariki dunia baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa Athumani ...
MWANZA: MGOCHI Herman ,29, mwendesha bodaboda mkazi wa Kitangiri jijini Mwanza amekutwa amekufa baada ya kushambuliwa sehemu mbalimbali za mwili wake huku chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni ...
KATIKA malavidavi ishu ya kufungisha wala sio hatari, kwani kuna wakati watu wanazidiwa na kuamua kutesti zali mahali pengine. Msala ni pale unapoingia katika 18 na kufumaniwa. Haipendezi sana kwa ...
MASTAA mbalimbali wa Ligi Kuu Bara wakiwamo nyota wa zamani wa Simba na Yanga, akiwamo Shaaban Idd Chilunda na Waziri Junior wameonekana kupata chimbo jipya baada ya kufumaniwa wakijifua kwenye Uwanja ...
Ufaransa imefanikiwa kusonga mbele hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Ulaya 2024 kupitia bao la kujifunga la dakika ya lala salama lililowapatia ushindi wa bao 1-0. Juhudi za mshambuliaji ...
MRATIBU wa Elimu wa Kata ya Daraja Mbili jijini Arusha, Fausta Njau, ameeleza kushangazwa na mamlaka za kisheria kuwafumbia macho baadhi ya watuhumiwa wa ukatili wa kingono dhidi ya wanafunzi. Amesema ...
MKAZI wa Kijiji cha Kibwela, Kata ya Nyawilimilwa wilayani Geita, Mathayo Gote, ameadhibiwa kwa kuchapwa viboko na kutozwa faini ya Sh 200,000, baada ya kufumaniwa na mke wa mpangaji wake. Mwenyekiti ...
Handeni. Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia Mohamedi Lukindo (43) mkazi wa Chanika wilayani Handeni akituhumiwa kumshambulia hadi kufa Athumani Dolly (46) akidai kumfumania na mkewe nyumbani ...
I am of the school of thought that child (early/forced) marriages are totally wrong. Of course, all child marriages are forced, as the young child involved is not in a position to make the lifetime ...
Rombo. Mkazi wa kijiji cha Kibaoni, wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Shirima (26) aliyejiua kwa kunywa sumu ya kuulia magugu (Parasnow) baada ya kufumaniwa na mume wake aitwaye Riziki Shirima ...
Nchini Burundi Katika kipindi kisicho zidi wiki moja watu zaidi ya 40 wengi wao walinda usalama na watawala wamekamatwa na kupelekwa jela kwa tuhuma za kufumaniwa wakijihusisha na ulaji rushwa. Waziri ...